Nehemiah 7:70-72


70 aBaadhi ya viongozi wa jamaa walichangia kazi ya ujenzi. Mtawala alikabidhi kwenye hazina darkoni 1,000
Darkoni 1,000 za dhahabu ni sawa na uzito wa kilo 8.6.
za dhahabu, mabakuli 50, na mavazi 530 kwa ajili ya makuhani.
71 cBaadhi ya viongozi wa jamaa walikabidhi kwenye hazina darkoni 20,000 za dhahabu,
Darkoni 20,000 za dhahabu ni sawa na kilo 172.
na mane 2,200
Mane 2,200 za fedha ni sawa na kilo 1,300.
za fedha kwa ajili ya kazi hiyo.

72 fJumla ya matoleo ya watu wengine yalikuwa ni darkoni 20,000 za dhahabu, mane 2,000 za fedha, na mavazi sitini na saba ya makuhani.

Copyright information for SwhNEN